kwa mara ya kwanza kiongozi mkubwa wa kidini Papa Francis ajiunga na Instagram - ulimwengu wa teknolojia

Breaking

About Me

Peoples Solution

Thursday, 27 September 2018

kwa mara ya kwanza kiongozi mkubwa wa kidini Papa Francis ajiunga na Instagram

 kwa mara ya kwanza kiongozi mkubwa wa kidini Papa Francis ajiunga na Instagram


Papa Francis ajiunga na mtandao maarufu wa Instagram na kupata mashabiki zaidi ya 300,000

Kiongozi mtakatifu wa kanisa Katoliki Papa Francis ajiunga na mtandao wa kuweka picha wa Instagram na kushabikiwa na watu zaidi ya 300,000.
Papa aliweka picha yake ya kwanza katika na kutuma ujumbe wa amani kwa ulimwengu.
Katika profili yake ya Instagram Papa alitoa maelezo ya kuhamasisha huruma na kufuata njia ya Mungu kwa wasomaji.