IFAHAMU TEKNOLOJIA YA CCTV CAMERA NA JINSI INAVYOFANYA KAZI KATIKA MAENEO YANAYOTUZUNGUKA

Ni ukweli kizuri hakikosi kasoro .Na mficha maradhi kifo umuumbua usemi huu una maana kwamba Pamoja na mfumo huu kuwa mzuri pia una kasoro zake na sheria zake.kuna mahali haipaswi kabisa kuweka cctv.Maeneo hayo ni kama chooni,Sehmu za kuoshea maiti,nk
UMUHIMU WA CAMERA NA MATUMIZI YAKE
Camera ina umuhimu
mkubwa ndani ya jamii kutokana na shughuri za maendeleo mbalimbali
zinazofanyika ambazo zinaweza kuwa za
kiuchumi ,kisiasa ,kijamii,na kisayansi.Mwanzoni camera zilitumika kama kifaa cha starehe zaidi .Ukuaji wa teknolojia siku hadi siku umeongeza matumizi ya teknolojia na sasa camera inatumika kama kifaha cha ulinzi
Kutunza kumbukumbu za picha ambazo
ni za matukio mbalimbali(sherehe,huzuni nk)
Kutumika katika shughuli za ulinzi (security)Mfano kwenye
benki,hospitali ,magereza,vitani,viwandani,officini,majumba ya hibada,mipakani
na majumbani.Kama ni mtembeaji nadhani umeshakutana n acamera sehemu tofauti tofauti za kumbi za starehe,barabarani ,Kambi za jeshi,benki zote na hivi kalibu tumeziona mahospitalini,kwenye magari na majumbani tunamoishi.
Camera hizi zipo katika ubora ,viwango(zipo zenye kuchukua
umbali mdogo na umbali mkubwa kwa mwanzo ni mita mia),umbo tofauti tofauti(kubwa,kati
na ndogo,),muonkano tofauti tofauti ubadilika kutokana na maendeleo ya
technolojia.
Camera hizi husaidia kumtambua muarifu kwa haraka na hata
kuokoa baadhi ya mali.kwa sasa teknolojia hii imekuwa na kuenea nchi nyingi
zaidi kwani hutumika katika majengo ya biashara,viwanda,secka binafsi ambapo
hutumika kama security nzury ya kuaminika
MFUMO WA CCTV CAMERA
Kwanza kabisa unahitaji kuwa na chumba maalumu(cctv room) pamoja na mtu
wa kusimamia mfumo huo.kazi ya mtu hutakayemuweka itakuwa ni kukoctrol
serve(receive )na moniter zote.pia uwe na camera ,waya,adapter
charge,umeme,receive
VIFAA VINAVYOTUMIKA KUFUNGA CCTV
CAMERA
ROOM OF MONITER(CHUMBA MAALUMU KWAAJIRI YA KUKOTROO MFUMO WOTE)

Kiwe kikubwa na chenye hewa na wawepo watu wenye ujuzi pia kiwe ni secret and security ya kutosha ).hii ni baada ya kuweka na kueneza camera kwenye maeneo yote yaliyolengwa.ni vyema kuwepo na chumba maalumu kwa ajili ya kuhifadhi monitor(screen zote )pia ni lazima awepo mtu atakayehakikisha kwamba screen pamoja na receive zote zinafanya kazi.Vipo salama.
MAWASILIANO(TELEPHONE OR
MOBILE PHONE)
Ni jambo lisilopingika kwamba mawasiliano kwenye chumba cha
camera ni muhimu kuwepo muda wote wa siku nzima.hii itasaidia pale tatizo
litakapotokea kuwapa/kutoa taharifa kwa wengine)mfano tatizo la moto,wizi.Kiufundi.
MONITOR
Siyo lazima uwe na monitor nyingi monitor moja tu inaweza
kutosha kwa matumizi ya camera zaidi ya tano.na kudisplay camera zote kwa
pamoja kwa mfumo wa vipande vipande.
WIRE CCTV
Monitor inadisplay kutokana na setting na channel za camera
zake.
Pia unaweza kutumia screen yeyote kukonnect kioo cha camera
mfano kioo cha (TV,SIMU ,NACOMPUTER)
NA IKUMBUKWE KWAMBA SIYO LAZIMA UWE NA COMPUTER NDIO UWEZE KUTUMIA CAMERA HIZI.HATA BILA YA
COMPUTER UNAWEZA KUTUMIA MFUMO HUU
WACAMMERA
receiver/decoder
Hiki ni kifaa chenye kazi
kubwa katika mfumo huu wa camera .kwani kazi yake kubwa ni kunasa na kupokea
signal zinazotoka kwenye camera .kisha kuzisafirisha signal kwenda kwenye monitor.inafanya kazi kama decoder au
receiver.
hii receiver ambayo hupokea
picha kutoka kwenye camera kuja kwenye kioo kabla ya picha kuingia na kuonekana
kwenye camera ni lazima ipite hapa.DVR
imeitwa hivyo kwa sababa kazi yake kubwa ni kuhifadhi/na kutunza kumbukumbu za
picha zote kabla ya kudisplay
baada ya hapo ndio picha
huonekana kwenye screen.
Kifaa hiki kinauwezo wa
kuhifadhi data mbalimbali kwa kua ndani ya
DVR kuna memory ambayo ina tunza kumbukumbu.memory hiyo uhanzia ukubwa
wa GB 32 na kuendelea.
Pia muonekano wa
DVR hupo
katika maumbo na rangi tofauti tofauti.DVR zipo katika makundi mawili
1.
Wire
1.
BACKUP
(kwa ajili
ya kuhifadhi data mbalimbali kabla kufomati
au kufuta data zilizomo kwenye DVR.ni vyema kufanya backup kabla ya
kufuta data zilizomo kwenye DVR huenda baadaye zikahitajika
2.
FORMAT
Hunaweza
kuformat vitu vyote vilivyohifadhiwa humu na kuicha DVR nyeupe ikiwa haina kitu
3.
DELETE
Hunaweza
kufuta baadhi ya vitu na kuacha baadhi ya vitu
BAROON
Hukaa karibu kabisa na
camera.kazi ya baroon inakuwezesha kujua ni camera ngapi zinahitajika kuungwa
.kuna baroon za njia tofauti tofauti kuna njia (2,4,8,16,32)baroon moja
WIRE WA CAMERA
wire huu unakuwa na port mbili mfano wa Port moja inaingia kwenye
camera na port nyingine inaugwa kwenye adapter charge.kwa upande wa receiver
wire mmoja unaingia kwenye screen na
mwingine ni kwenye receiver
ADAPTER SWITCH/CHARGE(DVE
ADAPTER
Hii ni adapter ambaya yenyewe huingiza moto (umeme)volt
240/100 na kutoa kupeleka kwenye camera
volt12
UTP huu ni waya ambawo usafirisha signal za network.Lakini
unaweza kutumia katika kusafirisha signal za camera na umeme kwa pamoja.waya huu huna huwezo wa
kusafirisha signal za camera mbili hadi nne pamoja na umeme
JINSI YA KUUNGA UTP KWENYE
CAMERA
Kwanza kabisa utapima umbali
wa eneo husika ili kujua ni waya mita ngapi zinatakiwa.Box moja la UTP
linakaa mita 305.Kisha utaanza kuufunga
kwa juu.unaweza kutumia nailon cable
tyse kwa ajili ya kuzibana na kushikisha waya vizuri
Waya za moto(umeme)
utazifunga waya mbilimbili.utachukua waya mbili na kuzifanya kuwa kama waya
mmoja(hivo katika waya nne utapata waya waya mbili)tunaunga hivo kwa sababu
waya wa moto unopita ni mkubwa(volt 240)
Waya wa UTP unatakiwa kuingi
katika extension cable(cable ya umeme)hivyo itakubidi uunge plag kwa mbele
Utakapokuwa umeufikisha
sehemu unapotaka utachukua adapter charge na kuunga kwa mbele yaani INPUT .
Kisha utachukua waya wa
camera na kuunga katika adapter charge upande wa OUT PUT.hapo utakuwa umemaliza
kuconnect umeme kwenye camera
KUUNGA WAYA WA SIGNAL
Waya huu ni muhimu sana kwani ubeba signal.waya unaobeba signal
kwenye camera ni mmoja tu .unaweza kuwa wa rangi yeyote ule.utaunga kwenye port
inayoingia kwenye recever na kisha utaconnect na kwenye camera kwa kuuingiza
waya huu kwenye tundu moja ya BOROON
FAIDA YA KUTUMIA WAYA HUU KWENYE CAMERA
·
UTP una uwezo wa kusafirisha signal za camera zaidi ya moja
·
Una uwezo wa
kusafirisha umeme pamoja signal kwa pamoja
·
Una uwezo wa
kuhimili mvua na upo self zaidi
COAXIAL CABLE
COAXIAL hizi ni waya zinanazotumika kwenye connection ya camera lakini hazina
uwezo wa kusafirisha umeme na signal kwa pamoja.pindi utakapoweka waya huu
itakubidi utumie waya mwingine kwa ajili ya connection ya umeme
Unaweza kutumia coaxial kwa ajili ya signal.Na kutumia waya mwingine kwa ajili ya kupitisha umeme
·
Kusanya mahitaji yote (monitar,DVR,UTP,camera
and adapter)
·
Connect adapter on the extensiol cable
·
Unga kichwa cha adapter mwisho wa UTP
·
Weka /connect Decoder kwenye umeme pamoja na
monitor
·
Fanya connection kati ya monitor na decoder
·
Unga waya wa signal ya camera na uvute hadi
kwenye camera
Hapo utakuwa
umekamilisha connection na utaanza kuangalia camera yako
SISI KAMA ULIMWENGU WA TEKNIOLOJIA TUNGEPENDA KUWASHAURI MAKAMPUNI ,TAASISI MBALIMBALI ZA KIJAMII NA SERIKALI KWA UJUMLA KUITUMIA TEKNOLOJIA HII KWENYE MAENEO YAO ILI KULINDA MALI ZA WANANCHI NA USALAMA WAO KWA UJUMLA.KUNA MAENEO NI LAZIMA MIFUMO HII YA KAMERA ZA CCTV ZIWEKE ITASAIDIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE .MAENEO HAYO NI KAMA BANDALINI,MAHAKAMANI,VITUO VYOTE VYA MABASI YAENDAYO MIKOANI,MASHULENI WAKATI WA KUFANYIKA MITIHANI YA KITAIFA,HOSPITALINI (MAPOKEZI NA WODINI),MAJUMBA YOTE YA IBADA(MISIKITINI NA MAKANISANI).
SISI KAMA ULIMWENGU WA TEKNIOLOJIA TUNGEPENDA KUWASHAURI MAKAMPUNI ,TAASISI MBALIMBALI ZA KIJAMII NA SERIKALI KWA UJUMLA KUITUMIA TEKNOLOJIA HII KWENYE MAENEO YAO ILI KULINDA MALI ZA WANANCHI NA USALAMA WAO KWA UJUMLA.KUNA MAENEO NI LAZIMA MIFUMO HII YA KAMERA ZA CCTV ZIWEKE ITASAIDIA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE .MAENEO HAYO NI KAMA BANDALINI,MAHAKAMANI,VITUO VYOTE VYA MABASI YAENDAYO MIKOANI,MASHULENI WAKATI WA KUFANYIKA MITIHANI YA KITAIFA,HOSPITALINI (MAPOKEZI NA WODINI),MAJUMBA YOTE YA IBADA(MISIKITINI NA MAKANISANI).
UNAHITAJI KUFUNGIWA CCTV CAMERA KWENYE ENEO ,CHOMBO CHAKO .WASILIANA NASI TUTAKUTAFUTIA MAFUNDI WAZURI AMBAO WATAKUFUNGIA MFUMO HUU KWA UHAKIKA NA UJUZI WA HALI YA JUU.
Ungana Nasi Kwenye Mitandao ya Kijamii
KALIBU KWENYE GROUP NA PAGE YETU YA FACEBOOK KWA JINA LA ULIMWENGU WA TEKNOLOJIA.WHATSAPP KWA NAMBA 0653270429
KALIBU KWENYE GROUP NA PAGE YETU YA FACEBOOK KWA JINA LA ULIMWENGU WA TEKNOLOJIA.WHATSAPP KWA NAMBA 0653270429
Ulimwengu wa teknolojia Sisi ni suluhisho lako namba moja katika masuala yote ya Teknolojia,ya TEHAMA TANZANIA tembelea Kila Siku.