Miatandao ya kijamii kwa sasa ni kama silaha ambayo inaweza kumlinda mtu pale itapotumiwa na mtu sahii kwa wakati sahii na eneo sahii.Ikitumika vibaya basi uwa ni Kinyume chake yaweza kumuua mtu asiye na hatia,kualibu eneo,kuweka umasikini nk.Na hivyo hivyo utokea kwenye mitandao ya kijamii kwani ikitumika vizuri ina faida nyingi sana tena zitoweza kuzimaliza endapo nitazielezea.Ikitumika vibaya basi huwa ni Kinyume chake ina madhara makubwa ambayo huathiri uchumi,maadil i na Amani ya jamii husika.
Tanzania kuna mitandao ya kijamii maarufu mitano ambayo ni Faceebook Twitter, Instagram,Whatsapp pamoja na Snapchat. Kila mmoja anaitumia vile awezavyo.Leo ulimwengu wa teknolojia tumeonelea tuangalie waanzirishi wa mitandao hiina pesa wanazomiliki.
mtandao wa Instagram ndio unaongoza kwa kuwalipa pesa ndefu watu wengi. kupata matangazo watu ambao waliokuwa na wafuasi wengi yaani ‘Followers’ wanapiga pesa sana.ikifuatiwa na facebook,whatsapp,twitter,snapchart .
KEVIN SYSTROM
Huyu ndiye mmiliki halali wa mtandao wa Instagram
Kevin ana utajiri wa dola za kimarekani 1.1 Bilioni.
Mtandao huu ulizinduliwa Oktoba 6 mwaka 2010, sheria kubwa mtandao huu hauruhusiwi kufungua ukiwa chini ya miaka 17 hivyo kama unataka kufungua ukurasa huu lazima uwe na umri kuanzia miaka 18.
JACK DORSE
Huyu ndio mmiliki Halali wa mtandao wa Twiter mkazi wa Marekani ,
Jack ana utajiri wa Dola za Marekani 1.2 Bilioni.Mtandao huu
unaaminika kuwa mtandao unaowatumiwa na watu wanaojielewa haswa wengi wanatumia mtandao huu ku-Tweet na kupashana habari mbalimbali.
wapo na wanaomiliki mitandao mingine kama Imo Skype pamoja na Snapchat basi kaa nasi ili ujue mengi yanaendelea duniani. Ila kwa ufupi hii ndio mitandao inayofanya vizuri sana duniani.
MARK ZUCKERBERG
Huyu ndiyo mmiliki halali wa facebook.Mtandao huu
Mark ana utajiri wa dolla za kimarekani 55.3 billioni.PIa ndiye Tajiri wa kwanza kwa watu wanaomiliki mitandao ya kijamii.Mtandao huu ulianzishwa mwaka 2004 mwezi wa pili tarehe 4ndiyo mtandao unaongoza kwa kuwa na watumiaji wengi duniani. Facebook ambao umetupa jeuri sana na ndio mtandao namba moja uliowateka wengi na bado unawateka wengi haswa kwa aina yake ya uungwaji wa picha na vitu mbalimbali vinavyopatikana humo.
Brian Acton na Jan Koum
Waanzilishi wa Whatsapp: Brian Acton na Jan Koum.Hawa ndiyo wamiliki halali wa mtandao wa whatsapp.Brian acton ndiyo mwenye hisa ya 20% nyingi zaidi kuliko mwenzie .
Brian Acton kwa sasa anamiliki dola billioni 3.
atsApp, ambayo leo imekuwa mfalme wa mawasialino ya ujumbe duniani.Mtandao huu kwa sasa unakalibia kununuliwa na kampuni ya facebook.