Habari zenu tena ndugu zangu katika dunia hii ya teknolojia . leo tutakumbushana/kujifunza njia Rahisi ya kuweka/kutumia app za simu janja(smartphone) kwenye computer zetu ambazo tumezoea kuziona kwenye playstore.
Ni kweli tunatamani sana kutumia baadhi ya aplication za simu kwenye computer zetu lakini hatujui tufanyeje ili zikae na tuzitumie hizo mobile app kwenye laptop zetu.
ulimwengu wa teknolojia tupo kwa ajili yako na tunahakikisha upitwi na kitu kwenye teknolojia,leo tutakujuza njia rahisi na nyepesi za kuweka application za simu yako kwenye computer yako.Nakusihi fuatana nami ili upate kunufaika na hili
fuata haya upate kufurahia mashine yako bila kukosa chochote
Pakua programu inayoitwa Bluestacks ni bure ipakue (download) hapa http://www.bluestacks.com/download.html
Kisha Install ni bure yaani offline sasa, Ukimaliza itakuletea muonekano huu

Chagua lugha mimi ningechagua kiingereza sababu hakuna kiswahili
endelea next step zote kisha itakuomba uweke email au ufungue emal mpya kama hauna. kama unayo weka email yako.Ita load kisha itafunguka
mpaka hapo utakuwa umesha kamilisha sasa unaweza kutafuta program unayotaka na kuipakua kama play store