Habari ndugu wasomaji wa ulimwengu wa teknolojia.siku ya leo TUmekuja hapa kujuzana kuhusu kumiliki blog yako mwenyewe.
najua wengi mmekuwa mkijiuliza ni namna gani unaweza kutumia blog kama chanzo cha mapato.Ni kumiliki blog mwanzoni ni kazi ngumu inayoitaji utayali wa mali,akili na muda wako.swala la kutengeneza blog ni rahisi na inaweza kukuchukua masaa kadhaa kukamilika.
ANGALIZO
Ili uwanze kuingiza hela kupitia blog inahitaji juhudi zako mwenyewe.pia kuna hatua chache za kufata ili kuanza kulipwa.sisi kwa leo tutaongelea hatua za kufuata ili umiliki blog yako. kuhusu kuingiza kipato tutazunguza katika mada zijazo .
HATUA ZA KUTENGENEZA BLOG
zipo njia nyingi za kukuwezesha kumiliki blog yako bure bila kulipia nitakutajia chache
kama blogger.comwordpess.comweebly.comwebs.comna kuna nyingine nyingi lakini sisi leo tuangazie kufungua kutumia blogger unachotakiwa kufanya ni kutembelea link yao ambayo ni
hiiwww.blogger.com itakuletea muonekano huu Hapo unachotakiwa kufanya kama unamilliki email ya gmail ingiza hapo na nywila (password) yako kama huna utafungua akaunti mpya kwa kubofya maneno yanayo someka fungua akaunti mpya (creat new account) watakuletea fomu yao utajaza na kukubaliana nao kisha watakupatia akaunti yako sasa utakuwa umesha sign in utaona muonekano huu

kwasababu ndio mara ya kwanza muhimu kuna sehemu ya lugha kwa faida yako badili uweke kiingereza cha kingdom hii itakusaidia kupata nafasi ya kujisjili na matangazo ya ADSENSE,
Kama unahitaji msomaji wako aje kuona jina lako kamili kwenye machapisho (post) yako jina lako kamili bofya hapo kwenye google+ profile.kama huhitaji bofya hapo kwenye creat a limited blogger profilesisi tunahitaji jina kamili tutabofya kwenye google+ profile.
Tutabofya hapo kwenye creat profile hapo tutakubaliana na masharti yao mpaka mwisho tutakapo kutana na neno finish utabofya neno hili kama watakupeleka kwenye profile yako ya google+ achana nayo tembelea link yao ya www.blogger.com kutokana tulishamaliza kukubaliana nao sasa
Utabofya hapo kwenye neno continue to blogger
Hapo utabofya kwenye neno new blogneno hili linapatikana upande wa kushoto utabofya neno hilo
Hapo utajaza kicha cha blog kwenye Title na adress ya blog ambayo unahitaji
usiandike hili neno .blogspot.com huwa linakuja lenyewe kisha chagua template inayokuvutia
kisha bofya neno creat blog
mpaka kufikia hapo utakuwa umeshakamilisha kumiliki blog yako
hapo kazi ni kwako kuchapisha tu na kusubiri neema ya mungu ya kupata adsense na wasomaji wengi ili uweze kunufaika kwa kupitia blog yako
kama kuna kitu kitakusumbua kuhusu kufungua blog weka coment hapa chini nitakusaidia