Assalam alaykum wanateknolojia.katika pitapita zangu mitaa furani nikakutana na mtu mmoja mpenda teknolojia akimuuliza rafiki yake namna ya kutumia moderm moja kwa laini zote.mwenzie akamjibu ni lazima uwe ume un-lock moderm yako au uwe na moderm inayosoma laini zote(unversal moderm)
Kutokana na swali hilo nasi tukaona si vibaya tukitoa maujanja haya ya kutumia line ya tigo,voda ,hallotel au smart kwenye moderm yeyote bila ku un-lock.
MODERM
hiki ni kifaa kinachotumika kunasa mawimbi ya network kwenye kompyuta yako.kwa kutumia moderm unaweza kupiga au kupigiwa simu.kutuma au kupokea ujumbe kwenye kompyuta .pia kupitia moderm utaweza kuingia internet na kuanza kuperuzi mtandaoni kwa kutafuta taharifa mbalimbali.pia unaweza kuchati kupitia mitandao ya kijamii kama vile whatsapp,facebook,instagram
MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA MODERM
moderm huuzwa kwenye makani ya mitandao ya simu kama vile tigo,voda,hallotell.
- speed ya moderm kwa sekunde
- gharama ya moderm yenyewe
- ofa za mtandao husika wa hiyo moderm
- sifa nyingine za moderm unaweza kuziona kupitia picha unayoiyona hapo
- HATUA ZA KUFUATA
- hakikisha unakuwa na modem yeyote na line ya mtandao wowote unaotumika hapa nchini
- download (pakua) nokia suite kwenye PC yako download hapa >>>http://nokia_pc_suite.en.downloadastro.com/download/
- weka modem yako kwenye mashine yako
- funga software ya modem yako
- fungua program yako ya nokia pc
- isha bofya sehemu iliyo andikwa "creat internet connection" itakuletea ujumbe huu "no device connected"
- bonyeza "sparner like icon" itakuonyesha modem yako
- bofya tena kwenye icon ili uweze kuset (kupanga) APN za internet kama unavyopanga kwenye simu yako
- bofya conect
- itaunganisha na kukuonyesha kasi ya internet yako