JINSI YA KUSHARE DATA YA LAPTOP KWENDA KATIKA SIMU - ulimwengu wa teknolojia

Breaking

About Me

Peoples Solution

Monday, 15 January 2018

JINSI YA KUSHARE DATA YA LAPTOP KWENDA KATIKA SIMU

Habari zenu wana teknolojia leo tuangalie JINSI YA  KUSHARE  DATA YA LAPTOP KWENDA KATIKA SIMU









 kuna njia nyingi za kushare data.unaweza kushare data kwa kutumia njia ya wire au wireless ya kwanza nay a pili ni njaa za wireless.Na njia ya tatu njia ya wire
                                   
                                NJIA ZA KUSHARE DATA
  1. 1.    Kwa kutumia hotsport
  2. 2.    Kwa kutumia wi-fi
  3. 3.    Kwa kutumia usb


Kama tulivyozoea wengi wetu tumekuwa tukitumia data za kwenye simu janja zetu au laptop.Tatizo huja pale tunaotaka kutumia data kwenye vifaa vyote kwa pamoja au kumuunga mwingine ili aweze kutumia data zako.

Usijali mwana ulimwengu wa teknolojia  kupiti blog yetu tutajifunza njia moja moja .ila kwa leo tujifunze namna ya kuchangia data kutoka  kwenye laptop kwenda kwenye simu janja(smartphone)

Tukumbuke kuwa njia hii ni njia ya wireless haya sasa  tuangalie kutoka katika pc,laptop kwa wireless 

                               
      HATAUA ZA KUFUATA

Kuna program  inaitwa Baidu Pc Faster (inahusika na optimization ya pc) unaweza kudownload

, kisha install kwenye pc yako..baada ya hapo ifungue, then uende kwenye Wi-Fi hotspot ambayo imechorwa ile alama ya Wi-Fi...fanya set up, yaani ipe jina na password..then save...



Baada ya hapo connect modem yako yenye line uliyojiunga kifurushi cha net, ikishasoma rudi kule kwenye hiyo program ya Baidu pc faster fanya kuenable/kuweka On hiyo wireless yako.... sasa  tamba kwenye simu/tablet au pc yako.

Kwa maswali ushauri na msaada wasiliana unaweza kukomment.au wasiliana nasi kupitia namba zetu 0653270429  Pia Usisite kutoa maoni yako kupitia kurasa yetu ya facebook

                               Imeandaliwa na ulimwengu wa teknolojia group