OKOA PIKIPIKI AU GARI YAKO KWA KUFANYA HAYA KAMA UNAOGOPA KUIBIWA CHOMBO CHAKO CHA USAFIRI
Je wewe ni mmiliki au unatarajia kununua pikipiki,au gari.lakini
unasita kwa sababu fulani kama vile wizi,chombo chako kubebeshwa mzigo mkubwa
kuliko uwezo wake.dereva kukuibia mafuta..
ungependa kujua chombo chako cha usafiri mahali kilipo.kujua
kimebeba mzigo wenye ukubwa gani.kimesimama mara ngapi.na kimetumia mafuta
kiasi gani.Mfumo huu ni rahisi kutunia na siyo la lazima huwe na kompyuta muta
wote unaweza tumia hata simu yako janja ya mkononi inatosha .
Kwa kuwa lengo la ulimwengu wa teknolojia ni kukujuza
usiyoyafahamu ndani ya teknolojia na kuitanua teknolojia ndani ya tanzania
mfumo huu mwanzo ulianzia kwenye simu na sasa hupo kwenye vifaa
vyetu .
KWA FAIDA YA WATU WA TEHAMA(ICT)
U-TRACK ni mfumo wa ulinzi ambao unakuhakikishia usalama wa gari
au pikipiki yako. Na kurifanya kuwa
POSITION AND LOCATION (MAHALI ILIPO) ,SPEED KILOMITA (MWENDO
UNAOTEMBEA CHOMBO CHAKO KWA MUDA HUO).FUEL USES( MAFUTA YALIYOTUMIKA) ya gari
lako.
Pia ni kifaa kinachookoa matumizi mabaya ya mafuta na wizi wa
mafuta kwenye gari lako.kwa husoma gari limetembea kilomita ngapi hivyo mafuta
yaliyotumika ni lita ngapi.pia utawezakujua kwa wakati huu gari lako likowapi.
Position utaweza kujua gari imetembea km ngapi na ipo wapi
Location utajua gari imetembea km ngapi
UFANYAJI KAZI WA MFUMO HUU NAMNA KINAVYOWEKWA KIFAA HIKI
Ni kifaa kinachowekwa lain ndani yake(waweza kuweka lain yeyote
ile ya mtandao wowote kama vile tigo,Vodacom,airtell)
Pia huwa na kifaa cha GPRS NDANI YAKE ambacho kazi yake kubwa
huonyesha position na location
ISTALLATION OF U-TRACK
Ufungaji wa kifaa hiki hunawahusu zaidi watu wa (GERAGE=mafundi
magari).huwa wanafunga kwenye DASH BODI ya mbele ya gari kwa kuunga baadhi ya
waya za gari na nyaya za U TRACK
CHECKED
Checked yake wanafanya watu wa magari
UFANYA KAZI WAKE
Program hii inahitaji kuwa na computer.yenyewe hutumika katika
kuangalia location na position.kama utaona hitilafu utaweza kuona kwenye
computer.inakubidi huwe na program ya U-track kwenye computer yako.kifaa cha
U_TRACK kitaweza kutuma signal moja kwa moja hadi kwenye computer iliyowekwa
program ya U_TRACK na kuweza kuliona gari hilo
RIPOTI (U-TRACK REPORT)
Ikiwa wewe ni msimamizi wa program hii inakubidi kuandika report
kila siku kwa kutumia MS EXCEL
Unaweza kuandika kumbukumbu na kasha kutoa HARD COPY kwa ajili
ya kumbukumbu
kwa elimu na mbinu za kufahamu mahali simu yako ilipo hata kama
imepotea .Usikose kutufatilia zaidi katika masomo yetu yajayo
JE WEWE UNAFAHAMU NINI KUHUSU MFUMO HUU.UNAFIKILI NI SULUHISHO
SAHIHI KWA WIZI WA VYOMBO VYETU VYA
USAFIRI HAPA TANZANIA,NA JE NI ZIPI CHANGAMOTO (MADHAIFU/MATATIZO) GANI ZINAZOIKUMBA TEKNOLOJIA HII YA U-TRACK
NCHINI NA KAMA ZIPO TUFANYE NINI ILI
KUZITATUA CHANGAMOTO HIZI .
KALIBU TUJADILIANE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KWA NAMBA YETU YA GROUP LA
Ungana Nasi
Kwenye Mitandao ya Kijamii
Ulimwengu wa teknolojia
Sisi ni suluhisho lako namba moja katika masuala yote ya Teknolojia,ya
TEHAMA TANZANIA tembelea Kila Siku.